\v=18 \v~=Fanya lililo haki na jema mbele za \nd Bwana\nd*, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo \nd Bwana\nd* aliahidi kwa kiapo kwa baba zako, \¬v