\v=2 \v~=ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche \nd Bwana\nd* Mungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu. \¬v