\p \v=20 \v~=Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo \nd Bwana\nd* Mungu wako alikuagiza wewe?” \¬v