\v=24 \v~=\nd Bwana\nd* akatuagiza tutii amri hizi zote na kumcha \nd Bwana\nd* Mungu wetu, ili tupate kustawi na kuendelea kuwa hai kama ilivyo leo. \¬v