\v=3 \v~=Sikia, ee Israeli, nawe uwe mwangalifu kutii ili upate kufanikiwa na kuongezeka sana katika nchi itiririkayo maziwa na asali, kama \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu, alivyowaahidi ninyi. \¬v \¬p