\v=16 \v~=Ni lazima mwangamize watu wote ambao \nd Bwana\nd* Mungu wenu atawatia mikononi mwenu. Msiwatazame kwa kuwahurumia na msiitumikie miungu yao, kwa kuwa itakuwa mtego kwenu. \¬v \¬p