\v=18 \v~=Lakini msiwaogope. Kumbukeni vyema jinsi \nd Bwana\nd* Mungu wenu alivyofanya kwa Farao na kwa wote huko Misri. \¬v