\v=19 \v~=Mliona kwa macho yenu wenyewe majaribu makubwa, ishara za miujiza na maajabu, mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, ambao kwa huo \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliwatoa mtoke Misri. \nd Bwana\nd* Mungu wenu atawafanyia hivyo watu wote ambao mnawaogopa sasa. \¬v