\v=21 \v~=Msiingiwe na hofu kwa sababu yao, kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ambaye yupo miongoni mwenu ni mkuu naye ni Mungu wa kutisha. \¬v