\v=4 \v~=Kwa maana watamgeuza mwanao aache kunifuata, ili aitumikia miungu mingine, nayo hasira ya \nd Bwana\nd* itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza ghafula. \¬v