\v=6 \v~=Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa \nd Bwana\nd* Mungu wako. \nd Bwana\nd* Mungu wako amekuchagua wewe kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani. \¬v \¬p