\v=14 \v~=basi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa. \¬v