\v=18 \v~=Lakini kumbukeni \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ndiye ambaye huwapa uwezo wa kupata utajiri, na hivyo kulithibitisha Agano lake, ambalo aliwaapia baba zenu, kama ilivyo leo. \¬v \¬p