\p \v=19 \v~=Ikiwa mtamsahau \nd Bwana\nd* Mungu wenu, mkaifuata miungu mingine, mkaiabudu na kuisujudia, ninashuhudia dhidi yenu leo kwamba hakika mtaangamizwa. \¬v