\v=7 \v~=Kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi yenye vijito na mabwawa ya maji, yenye chemchemi zinazotiririka mabondeni na katika vilima; \¬v