\v=16 \v~=Nilipotazama, niliona kuwa mmefanya dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu; mmejifanyia sanamu ya kusubu katika umbo la ndama. Mmegeuka upesi kutoka njia ile \nd Bwana\nd* aliyowaagiza. \¬v