\p \v=18 \v~=Ndipo tena nikasujudu mbele za \nd Bwana\nd* kwa siku arobaini usiku na mchana. Sikula mkate wala sikunywa maji, kwa sababu ya dhambi yote mliyoifanya, mkifanya lile lililo ovu mbele za \nd Bwana\nd* na kumkasirisha. \¬v