\p \v=23 \v~=Vilevile wakati \nd Bwana\nd* alipowatuma kutoka Kadesh-Barnea, alisema, “Kweeni, mkaimiliki nchi ambayo nimewapa.” Lakini mliasi dhidi ya agizo la \nd Bwana\nd* Mungu wenu. Hamkumtegemea wala kumtii. \¬v