\p \v=25 \v~=Nilianguka kifudifudi mbele za \nd Bwana\nd* kwa zile siku arobaini usiku na mchana kwa sababu \nd Bwana\nd* alikuwa amesema angewaangamiza ninyi. \¬v