\v=26 \v~=Nilimwomba \nd Bwana\nd* na kusema, “Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi, usiangamize watu wako, urithi wako mwenyewe ule ulioukomboa kwa uweza wako mkuu na kuwatoa katika nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu. \¬v