\v=28 \v~=Watu wa nchi ile uliyotutoa sisi wasije wakasema, ‘Ni kwa sababu \nd Bwana\nd* hakuweza kuwachukua mpaka nchi aliyokuwa amewaahidia, kwa sababu aliwachukia, akawaleta ili aje kuwaua jangwani.’ \¬v