\p \v=4 \v~=Baada ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu kuwafukuza mbele yenu, msiseme mioyoni mwenu, “\nd Bwana\nd* ametuleta hapa kuimiliki nchi hii kwa sababu ya haki yetu.” La, ni kwa sababu ya uovu wa mataifa haya ndiyo \nd Bwana\nd* anawafukuza mbele yenu. \¬v