\v=6 \v~=Basi mjue, si kwa sababu ya haki yenu \nd Bwana\nd* Mungu wenu anawapa nchi hii nzuri kuimiliki, kwa kuwa ninyi ni taifa lenye shingo ngumu. \¬v \¬p