\v=8 \v~=Kule Horebu mliamsha ghadhabu ya \nd Bwana\nd*, kwa hiyo alikasirika vya kutosha hata akataka kuwaangamiza. \¬v