\v=9 \v~=Nilipopanda mlimani kupokea mbao za mawe, mbao za Agano lile \nd Bwana\nd* alilofanya nanyi, nilikaa mlimani siku arobaini usiku na mchana, sikula mkate wala sikunywa maji. \¬v