\m \v=9 \v~=(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Kristo alishuka pande za chini sana za dunia?\f + \fr 4:9 \ft Pande za chini sana za dunia hapa maana yake Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu.\f* \¬v