\p \v=5 \v~=Wakati Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima alighadhibika. \¬v