\v=9 \v~=Kama inampendeza mfalme, itolewe amri kuwaangamiza, nami nitaweka talanta 10,000\f + \fr 3:9 \ft Talanta 10,000 za fedha ni sawa na tani 340.\f* za fedha katika hazina ya mfalme kwa ajili ya watu watakaoshughulikia jambo hili.” \¬v \¬p