\v=24 \v~=Kwa maana Hamani mwana wa Hamedatha Mwagagi, adui wa Wayahudi wote, alikuwa amepanga hila dhidi ya Wayahudi ili kuwaangamiza, na alikuwa amepiga \it puri\it* (yaani kura) kwa ajili ya maangamizi na uharibifu wao. \¬v