\p \v=10 \v~=Farao akasema, “\nd Bwana\nd* awe pamoja nanyi, kama nikiwaruhusu mwondoke pamoja na wanawake wenu na watoto wenu! Ni wazi kwamba mna makusudi mabaya. \¬v