\v=11 \v~=La hasha! Wanaume peke yao na waende, wakamwabudu \nd Bwana\nd*, kwa kuwa hilo ndilo mmekuwa mkiomba.” Kwa hiyo Mose na Aroni wakaondolewa mbele ya Farao. \¬v \¬p