\p \v=13 \v~=Kwa hiyo Mose akanyoosha fimbo yake juu ya Misri, \nd Bwana\nd* akauleta upepo wa mashariki ukavuma katika nchi yote mchana wote na usiku kucha, kufikia asubuhi upepo ukawa umeleta nzige. \¬v