\p \v=16 \v~=Farao akawaita Mose na Aroni kwa haraka na kuwaambia, “Nimetenda dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu na dhidi yenu pia. \¬v