\p \v=24 \v~=Ndipo Farao akamwita Mose na kusema, “Nendeni, mkamwabudu \nd Bwana\nd*. Hata wanawake na watoto wenu mwaweza kwenda nao pia, lakini kondoo, mbuzi na ngʼombe wenu waacheni.” \¬v \¬p