\p \v=7 \v~=Maafisa wa Farao wakamwambia, “Mpaka lini huyu mtu atakuwa tanzi kwetu? Waachie hao watu waende zao, ili wapate kumwabudu \nd Bwana\nd* Mungu wao. Je, bado hutambui kuwa Misri imeangamia?” \¬v \¬p