\p \v=8 \v~=Ndipo Mose na Aroni wakaletwa kwa Farao. Farao akawaambia, “Nendeni, mkamwabudu \nd Bwana\nd* Mungu wenu. Lakini ni nani hasa watakaokwenda?” \¬v \¬p