\v=10 \v~=Mose na Aroni wakafanya maajabu haya yote mbele ya Farao, lakini \nd Bwana\nd* akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, wala hakuwaachia Waisraeli waondoke katika nchi yake. \¬v \¬p \¬c