\p \v=4 \v~=Kwa hiyo Mose akasema, “Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo: ‘Panapo usiku wa manane Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri. \¬v