\p \v=9 \v~=\nd Bwana\nd* alikuwa amemwambia Mose, “Farao atakataa kukusikiliza, ili maajabu yangu yapate kuongezeka katika nchi ya Misri.” \¬v