\p \v=14 \v~=“Siku hii itakuwa kumbukumbu kwenu, mtaiadhimisha kuwa sikukuu kwa \nd Bwana\nd*, katika vizazi vyenu vyote: mtaishika kuwa amri ya kudumu. \¬v