\v=27 \v~=Basi waambieni, ‘Hii ni dhabihu ya Pasaka kwa \nd Bwana\nd*, ambaye alipita juu ya nyumba za Waisraeli katika nchi ya Misri na hakudhuru nyumba zetu alipowapiga Wamisri.’ ” Ndipo watu wa Israeli waliposujudu na kuabudu. \¬v