\p \v=48 \v~=“Mgeni aishiye miongoni mwenu ambaye anataka kuadhimisha Pasaka ya \nd Bwana\nd* ni lazima wanaume wote waliomo nyumbani mwake wawe wametahiriwa, ndipo aweze kushiriki kama mzawa. Mwanaume yeyote asiyetahiriwa haruhusiwi kuila. \¬v