\v=12 \v~=inakupasa kumtolea \nd Bwana\nd* mzaliwa wa kwanza wa kila tumbo. Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume wa mifugo yako ni mali ya \nd Bwana\nd*. \¬v