\p \v=3 \v~=Ndipo Mose akawaambia watu, “Ikumbukeni siku hii, siku ambayo mlitoka katika nchi ya Misri, katika nchi ya utumwa, kwa sababu \nd Bwana\nd* aliwatoa humo kwa mkono wenye nguvu. Msile chochote kilichotiwa chachu. \¬v