\v=4 \v~=Leo, katika mwezi wa Abibu,\f + \fr 13:4 \ft Abibu ni jina la mwezi wa kwanza kwa Wayahudi, ambao ni mwezi wa nne katika kalenda yetu.\f* mnatoka. \¬v