\p \v=10 \v~=Farao alipokaribia, Waisraeli wakainua macho yao, wakawaona Wamisri wakija nyuma yao. Wakashikwa na hofu, wakamlilia \nd Bwana\nd*. \¬v