\p \v=13 \v~=Mose akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu \nd Bwana\nd* atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena. \¬v