\v=25 \v~=Mungu akayaondoa magurudumu ya magari yao, kwa hivyo wakayaendesha kwa shida. Nao Wamisri wakasema, “Tuachane na Waisraeli! \nd Bwana\nd* anawapigania dhidi ya Misri.” \¬v \¬p