\v=27 \v~=Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, wakati wa mapambazuko bahari ikarudiana na kuwa kama kawaida. Wamisri wakajaribu kuyakimbia maji, lakini \nd Bwana\nd* akawasukumia ndani ya bahari. \¬v