\v=31 \v~=Basi Waisraeli walipoona uwezo mkubwa \nd Bwana\nd* aliodhihirisha dhidi ya Wamisri, watu wakamwogopa \nd Bwana\nd* na wakaweka tumaini lao kwake na kwa Mose mtumishi wake. \¬v \¬p \¬c